G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Mechi zipo wazi kabisa hizo mkuuHapo kwa Roma na Al ahly panatia shaka kidogo lakini unaweza kujilipua
Mechi zipo wazi kabisa hizo mkuuHapo kwa Roma na Al ahly panatia shaka kidogo lakini unaweza kujilipua
Nimemuongeza Mazembe ili nipate 10%
Leo natembea na wewe[emoji23]View attachment 1070336
Sent using Jamii Forums mobile app
HT mapema tuMechi ya TP Mazembe HT over 0.5 and over 1.5, Full time over 2.5.
huyu sina hamu naye toka anichanie mkeka dakika ya 90 akasawazishiwa na kupigwa juu nampitaga tuuCSKA Moscow ameniharibia week end
Dk za mwishooni mkeka raruuu
囧:'(kmm.aKwa ninavyojua mimi hii michezo ya Kufix mechi siku hizi haitokei kwenye level za juu kwa sababu hela kwenye mpira wa level ya juu zimekuwa nyingi sana kiasi kwamba haileti faida hata ukitaka kuinunua coz wachezaji wenyew wanalipwa hela ndefu sana ss ww utawalipa bei gani na utabet kwa stake gani urudishe hyo hela? na hata FIFA wamekuwa makini sana kwenye ku monitor hyo michezo kama alivyosema Mkuu Mayu adhabu huwa ni kali sana kama kilichowatokea Juve mpka wakashushwa dalaja,Match fixing hutokea lakin sema ni kwa level ya chini mfano ligi za chini sana au Mechi za Watoto kama Under 21 etc na hyo ni kwenye nchi ambazo ufatiliaji wake ni mdogo na ofcoz hyo michezo inachezwa kwa umakini na usiri mkubwa kiasi kwamba watu wachache sana wanakuwa wanahusika au kujua!
Mimi piaCSKA Moscow ameniharibia week end
Wapuuzi hao wameshaharibu kaziiCSKA Moscow ameniharibia week end
Daah GG HT ilikuwa Na odd mlima, halafu naona inanukia Kwa kasi.
Daah si Mfati tena maana nilijilipua mzigo wa maana.huyu sina hamu naye toka anichanie mkeka dakika ya 90 akasawazishiwa na kupigwa juu nampitaga tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
pole mkuu nilishampiga ban alishaniharibia yeye tuDaah si Mfati tena maana nilijilipua mzigo wa maana.
Kasepa na mikeka yangu miwili ya 30K, mpuuzi sana huyuCSKA Moscow ameniharibia week end