Kampuni zinazo uza predictions odd zipo nyingi na zina ama website au app kwa maana ya kwamba watatakua wanaweka daily odd free kuonyesha uwezo wao na watakua wanaonyesha win na lost za predictions zao dailyUnadhani wanaouza Tips/Odds hawana hela za kucheza ? Kuwa makini na majibu yako ndugu mn kuna kampuni nyingi sn zinauza odds unadhani mimi wakwanza ? Wake up kijana .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu! Man u hana focus saana na game ya UEFA kwa simple reason wanajua itakuwa kazi saana kutaka kupindua matokeo pale Camp nou mbele ya Barcelona coz Barcelona anakufa kirahisi saana nje lakini kwake..ni msako!Soma vizuri post yangu mkuu
Narudia tena Man u kipaumbele ni uefa cl
Siku 3 zijazo
Wanaweza kupumzisha key players kwa ajili hiyo
Uongo unatoka wapi?View attachment 1070229
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina wezekana mkuuMkuu! Man u hana focus saana na game ya UEFA kwa simple reason wanajua itakuwa kazi saana kutaka kupindua matokeo pale Camp nou mbele ya Barcelona coz Barcelona anakufa kirahisi saana nje lakini kwake..ni msako!
Wanafocus UEFA ijayo ambayo watakuwa wamesajili vya kutosha na chemistry itakuwa intact sasa namna pekee ya kushiriki tena UEFA ni kumaliza top 4 ndio maana mechi ya leo kwa Man U ni Muhimu kuliko ile ya Barcelona ambayo possibility ya kupindua matokeo ni ndogo saana mbele ya ile miamba yenye njaa na UEFA ya Spain.
Hivyo direct win kwa Man U leo ni best option kuliko tunavyofikiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
PSG hana consistency, experience disciplines wala composure walishapinduliwa matokeo ya UEFA zaidi ya mara tatu! Barcelona ni Kazi saana kumpindulia matokeo kwake. Kazi sana na Man U wanalijua hili ndio maana wameamua kuwa wapole tu.
Amna sio najarib bahat japo najua game nimewek nying ila najua inawezekana
Amna sio najarib bahat japo najua game nimewek nying ila najua inawezekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Next to impossible mkuuAmna sio najarib bahat japo najua game nimewek nying ila najua inawezekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda jukwaa la biashara kawauzie huko,nyambafu.Kama unataka odds nicheki kwa 0622619423
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naelewa sema nilishawah kutoa za aina hii mara kadhaaa huwa naweka waaina hii naweka stake ndogo then naweka mfupi max game 5 naweka stake kubwaNext to impossible mkuu
Ukitaka kukata tamaa mapema kabisa na betting
Basi uwe una bet kwa jinsi hii
Ukama iligusa gusa hisabati utakua unajua probability inavyo apply
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma vizuri post yangu mkuu
Narudia tena Man u kipaumbele ni uefa cl
Siku 3 zijazo
Wanaweza kupumzisha key players kwa ajili hiyo
Uongo unatoka wapi?View attachment 1070229
Sent using Jamii Forums mobile app
WADAU TUKITOKA HIVI LEO VIPI?
Maoni yako tafadhaliView attachment 1070245
Hayo anayaua Ole Gunnar Solskjær na benchi lake la ufundiHawez pumzisha key player yoyote iv hujui vita iliyopo yavtop four yani a risk kuingia big four itayompeleka uko uefa tena aende kubishana nakina baca ambao dhahiri wamepita au hujui mpira mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app