Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee mnaotumia 1*bet kwa line ya safarcom simnisaidie Nina hasira eti na hyu kanjbay . Mbona nko wengi mnaotumia lakni hamnipi support masela?

Sent using Jamii Forums mobile app

kama uliweka hela kupitia m pesa kenya lazima inasoma kes,

lakin pia kama uliweka kupitia tzs ndo maana labda inasoma hivyo,

cha mcing nenda kwenye sehemu iliyoandikwa aina ya pesa kama n kes or tzs or us dollar badilisha isome kes
 
Wakuu hatimaye nmepambana kiume mpaka imekubali. Naomba mwenye kujua menu ya mpesa ya safaricom. Nataka nianze kudeposit Sasa hvi nianze fujo na kanj

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…