Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Caf cl
Screenshot_2019-04-14-00-00-06-1.jpeg
Screenshot_2019-04-13-23-57-33-1.jpeg
Screenshot_2019-04-13-23-53-33-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio peke yako mkuu yaan hawa sunderland kumanina zao
Sunderland nimepoteza imani nao, ni wepesi sana kuruhusu mabao. Mechi ya jana nilimuamini sana, alikuwa na advantage ya kuwa nyumbani, alikuwa anacheza na kibonde. Msenge huyu mapema tu kashapigwa 3, ameniangusha sana jana!
 
Back
Top Bottom