Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yaani mikeka tisa ya timu nne nne zimechana moja moja kila mkeka

Sent using Jamii Forums mobile app
Tulikuwa tunakimbizana. Niliweka mikeka 6 kwa timu 5 * 5, nimekuja kula mkeka mmoja wa pesa ya mbuzi. Mikeka mingine ya pesa ya maana imechanika vibaya vibaya, timu mbili au moja zinanikwamisha!
 
Sio peke yako mkuu yaan hawa sunderland kumanina zao
Sunderland nimepoteza imani nao, ni wepesi sana kuruhusu mabao. Mechi ya jana nilimuamini sana, alikuwa na advantage ya kuwa nyumbani, alikuwa anacheza na kibonde. Msenge huyu mapema tu kashapigwa 3, ameniangusha sana jana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…