Snrmoudy
JF-Expert Member
- Jul 6, 2016
- 285
- 177
Kubet huku Daah hapo ndio unapo ona uchawi upo magoli sawa dakika sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbet au 1x bet?Wakuu nisaidie : nimeweka pesa kwenye smu ya tochi yenye line ya safaricom Sasa kutoa pesa kwenye account ya safaricom kupeleka kwenye account ya mbet bado inanisumbua maana nmetumia menu yao ya *234# nkienda kwenye m-pesa service inaniambia your not allowed to use this service. Wanaotumia njia ya safaricom naomba msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Kampuni Majizi Tu.We ni wakala wa kanji
Wakuu nisaidie : nimeweka pesa kwenye smu ya tochi yenye line ya safaricom Sasa kutoa pesa kwenye account ya safaricom kupeleka kwenye account ya mbet bado inanisumbua maana nmetumia menu yao ya *234# nkienda kwenye m-pesa service inaniambia your not allowed to use this service. Wanaotumia njia ya safaricom naomba msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Jackpot ya Sport pesa inaanzia mechi 10, 11,12,13Nimejaribu jackpots ngoma imekula gem 6 tatu bado hazijachezwa sport pesa, vp izo tatu zikiwin wanatoa mpunga hata kwa timu 9?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nisaidie : nimeweka pesa kwenye smu ya tochi yenye line ya safaricom Sasa kutoa pesa kwenye account ya safaricom kupeleka kwenye account ya mbet bado inanisumbua maana nmetumia menu yao ya *234# nkienda kwenye m-pesa service inaniambia your not allowed to use this service. Wanaotumia njia ya safaricom naomba msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuuliza maana nimetoa pesa kutoka 1xbet ishafika kwenye laini ya safaricom ninapotaka kuileta kwenye laini yangu naona bado haipo na safaricom imetoka maana nimeingia kwenye simkit ya safaricom nikaenda send money nkaweka namba yangu ya simu kwa kuanza na 075...nika comfirm transaction ila mpaka mda huu mpesa hakuna pesa je nimekosea?Kwenye simu yako tafute app inaitwa sim tool click hyo utaona Safaricom click hapo nenda M-Pesa nenda lipa kwa M-Pesa utawmbiwa uweke namba ya kampun n 270029 watakuomba reference number n account number yako alafu utaweka kiasi then password unatibitisha mchezo umeisha.
Note: Safaricom M-Pesa n application Yan app ndo inafanya transaction zote
UmekoseaNaomba kuuliza maana nimetoa pesa kutoka 1xbet ishafika kwenye laini ya safaricom ninapotaka kuileta kwenye laini yangu naona bado haipo na safaricom imetoka maana nimeingia kwenye simkit ya safaricom nikaenda send money nkaweka namba yangu ya simu kwa kuanza na 075...nika comfirm transaction ila mpaka mda huu mpesa hakuna pesa je nimekosea?
Naomba kuuliza maana nimetoa pesa kutoka 1xbet ishafika kwenye laini ya safaricom ninapotaka kuileta kwenye laini yangu naona bado haipo na safaricom imetoka maana nimeingia kwenye simkit ya safaricom nikaenda send money nkaweka namba yangu ya simu kwa kuanza na 075...nika comfirm transaction ila mpaka mda huu mpesa hakuna pesa je nimekosea?
Customer care ni janga!!!!! Kila utakachoojitaji unaambiwa utume e-mail, ili hali hawajibu mailsJIUNGE NA MOSTBET UPATE BONUS 100% ON THE FIRST DEPOST
WEKA PESA KWA KUTUMIA MITANDAO YA SIMU (M-PESA TIGO PESA NA AIRTEL MONEY)
BONYEZA HII LINK HAPA CHINI KUJIUNGA
Hapana, kuanzia 10 wanatoa mpungaNimejaribu jackpots ngoma imekula gem 6 tatu bado hazijachezwa sport pesa, vp izo tatu zikiwin wanatoa mpunga hata kwa timu 9?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina hamu nao. Karibia mwezi sasa salio halisomiHiyo Kampuni Majizi Tu.
Nilidelosit pesa hii wiki ya pili sasa pesa haijaingia. Na msg zote za miamala nikipata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kaituma kwenye line yake ya safaricom!Hapo umemtumia mtu wa Kenya nasio namba yako ya Voda Tanzania wapigie Safaricom wajaribu kuirudisha Kama haijatoka kwa uliemtumia