Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba mfano mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uropean handicap au 3way
1 (Home-2) unamuondolea goli 2 wa nyumbani na ashinde

X (Home-2) unamuondolea goli 2 wa nyumbani na mechi iwe draw

2 (Away+2) unamuongezea goli mbili wa ugenini na ashinde

Asia handicap au 2way

1 (Home-1,,5) unamuondolea wa nyumbani goli 1 na nusu na ashinde

2 (Away+1,5) unamuongezea wa ugenini goli 1 na nusu na ashinde

Hii haina draw sababu ya nusu goli

Mengine jiongeze
Screenshot_2019-04-14-20-44-39-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nimedownload hyo app ya safaricom lakn inanigomea. Nielewesheni Basi vzur hatua kwa hatua wakuu natakiwa niende wapi nifanye nini wengine kuelewa kirahisi n vigumu tunahitaji kueleweshwa hatu kuanzi Moja hadi mwisho
Screenshot_20190414-215141.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom