Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 5,609
- 10,491
Kuna mechi za kuepuka kama hiyo psg uki kuta kapewa odds kubwa ivo muepuke na ndo maana walio ona walitoa tahadhari umu ligi ana ongoza kwa tofaut ya point 20 odds kapewa 1.80 bado hushtuki same case to barca ystday muhim kuelewa the rules of the gameHata kama n magoli mkuu unaweza weka over yakaja under na ukiweka under yanakuja over
Sent using Jamii Forums mobile app