Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nimedownload hyo app ya safaricom lakn inanigomea. Nielewesheni Basi vzur hatua kwa hatua wakuu natakiwa niende wapi nifanye nini wengine kuelewa kirahisi n vigumu tunahitaji kueleweshwa hatu kuanzi Moja hadi mwishoView attachment 1071706

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wananiambia niwafuate inbox nkiwafuata nawatumia ujumbe hawanijbu.please kwa ambaye anatumia safaricom anieleweshe nifanyaje maana tayar Nina account shda n kutoa ela kwenye safaricom kupeleka kwenye 1*bet ACC hlo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nimedownload hyo app ya safaricom lakn inanigomea. Nielewesheni Basi vzur hatua kwa hatua wakuu natakiwa niende wapi nifanye nini wengine kuelewa kirahisi n vigumu tunahitaji kueleweshwa hatu kuanzi Moja hadi mwishoView attachment 1071706

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni app gani hii?

Naona wadau wamechanganyikiwa na vipogp vya muhindi sijui maana sioni anayetoa msaada wakati watumiaji wako wengi humu

Jaribu ki google sana hayo makitu mkuu
Naamini utapata solutions online

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo tool kit iko wapi mkuu ? Simu ya tochi inayo?au mpaka smart fone?

Sent using Jamii Forums mobile app
we Jamaa embu fata iz hatua uta tue ilo tatzo lako

kama ume weka line ya safaricom kwny sim ndogo
utaona kuna hyo tuna ita simtoolkit ambapo icon yake ina kua na alama za line panakua pame andikwa safaricom
uki bonyeza apo utakuta optn mbil

safaricom+
M Pesa

click M Pesa
kisha nenda
LiPa na M Pesa
enter business number
uta weka iyo business number ya 1xbet
reference number ni Acc no# yako ya 1xbet
refer scrnshot below
....


fanya deposit mzee mbna simple tu una kwama wapi?
Screenshot_2019-04-14-22-44-02.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom