Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Apana usiseme hivyo hapa tunajarbu kubadilishana namna ya Kubet kumbuka lengo wote ni kumla huyu mhindi na nisivingnevyo
Direct win Vs Over/Under ni kama Messi vs Ronaldo kila mmoja anajikuta mwamba zaidi ya mwenzie [emoji4][emoji4][emoji4] Kila mtu anamuonya mwenzie kwamba option hii haifai! Mm nashauri kitu kimoja kila mtu aachwe abeti kwa style yake na kwa option anayoipenda kama umeona analiwa muache Aliwe yeye ndo anaiaminia hiyo option [emoji855][emoji855][emoji855] Kwahyo tuwapumzishe kidogo wazee wa Direct win ! Muwaache kama wanavyoamini


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kuna mtu amewahi kutoa pesa mostbet. Nimewithdraw hela kutoka mostbet naona bado haijaingia kwenye m-pesa .hao jamaa wanatumia dusupay sytem kulipa .aliwahi anisaidie
 
Basketball sometime raha sana
Screenshot_20190415-132811.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kuna mtu amewahi kutoa pesa mostbet. Nimewithdraw hela kutoka mostbet naona bado haijaingia kwenye m-pesa .hao jamaa wanatumia dusupay sytem kulipa .aliwahi anisaidie
Yawezekana pia hao dusu pay ni sehemu tatizo huko Mostbet.
Je hao dusu pay ndio kina nani?
 
Hello!! Samahani naomba kuuliza ukitoa pesa mostbet inachukua muda gani? Naomba msaada maana nimetoa hela kwenye account yangu ya mostbet kuja mpesa na iko bado kwenye processing.any useful information will be appreciated
Duh pole sana,
Mi yalinikuta ya Kudeposit nilideposit most bet
Hii wiki ya 3 sasa hela haijaingia kwenye akaunt.
We ulitumia njia gani kudeposit?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom