sina experience na zingine zaidi ya meridian na sportpesa, sportpesa in play inazingua vibaya unaweza vunja simu kama una tempa ya haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
sina experience na zingine zaidi ya meridian na sportpesa, sportpesa in play inazingua vibaya unaweza vunja simu kama una tempa ya haraka
Mkuu Sina elimu hiyo hapa na share tu ukibahatika pouwa ukipigwa pouwa..
haina tofauti na ya kwenye mpira wa miguu chief ingawa huku waweza zicheza kwa quarter au 1st,2nd au ft
Umenikwepa Mkuu utabet kitu huna ufahamu nacho kwa dau kubwaMkuu Sina elimu hiyo hapa na share tu ukibahatika pouwa ukipigwa pouwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Sina elimu hiyo hapa na share tu ukibahatika pouwa ukipigwa pouwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuma
1/1 maana yake home ashinde kipindi cha kwanza na ashinde mechi pia....2/2 vile vile !!!Ndugu zangu naomba msaada zaidi kwa mtu ambaye ameilewa vema sheria ya halftime/fulltime. Najua watu wengi huwa wanatamani kuicheza ila wanaogopa, mimi nimejaribu mara kadhaa ila nimekula za uso, ile sheria naona kama kuna sehemu inakanganya, naomba msaada zaidi wa ufafanuzi.
nb: arsenal asipate goli lolote hapo yaani 1 - 0 hadi mwisho1/1 maana yake home ashinde kipindi cha kwanza na ashinde mechi pia....2/2 vile vile !!!
Mfn: Watford akapata bao dakika ya 10 likadumu hadi mechi inakamilika 1/1 inakuwa BOOOOOOMMMMM!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Meridian hakuna hizo game
Mimi navoelewa ni kwamba ukiweka 1/1 maana yake home team ishinde vipindi vyote,,,yaani 1st half aende kifua mbele i.e 1-0, 2-1 etc...na pia kipindi cha pili vivyo hivyo ashinde pia,,,hapo maana ya 1/1 inakuwa imetimia...1/1 maana yake home ashinde kipindi cha kwanza na ashinde mechi pia....2/2 vile vile !!!
Mfn: Watford akapata bao dakika ya 10 likadumu hadi mechi inakamilika 1/1 inakuwa BOOOOOOMMMMM!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Back mkuu hakuna option rahisiNiliwahi bet over 0.5 kwa muda wa mwezi niliishia kuliwa tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app