Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

SOKA255
PLAY 1-2
MAXB

Germany: 3.liga
15/04/2019 | 18:00
FC Wurzburger Kickers - Karlsruher
Pick: 2
Odd: 2.42
FULL TIME:


IRELAND: Premier Division
15/04/2019 | 19:45
UC Dublin – Cork City
Pick: 2
Odd: 1.80
FULL TIME:


IRELAND: Premier Division
15/04/2019 | 19:45
Sligo Rovers – Waterford
Pick: Over 2.5
Odd: 2.13
FULL TIME:

TOTAL ODDS 9.28



 
Mimi navoelewa ni kwamba ukiweka 1/1 maana yake home team ishinde vipindi vyote,,,yaani 1st half aende kifua mbele i.e 1-0, 2-1 etc...na pia kipindi cha pili vivyo hivyo ashinde pia,,,hapo maana ya 1/1 inakuwa imetimia...
Mfano liverpool vs chelsea...ili 1/1 iwe won inabidi 1st half imalizike liver akiongoza kwa idadi yoyote ya magoli, na pia 2nd half pia aongoze kwa udadi yoyote...tuseme 1st half ikaisha 1-0, 2nd half pia ikaisha 2-1= 3-1 FT. Hapo 1/1 itakuwa WON.
Ila ikiwa 1st half liva 1-0 chelsea,,na 2nd half ikaishia 0-0 na hivyo kufanya game kuisha kwa 1-0 basi hapo itakua LOSS!


Sent using Jamii Forums mobile app
mzee baba meridian wana 1/1 na double win !! hiyo DWIN ndo maana ina odd kubwa zaidi ya 1/1!!
nilishaifanyia kazi na kutusua pia....BETPAWA INAITWA HOME WIN /AWAY TO WIN BOTH HALF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa umetoa tafsiri "dhaifu"

Kiufupi hauko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yupo sahihi
IMG_20190415_192146.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu naomba msaada zaidi kwa mtu ambaye ameilewa vema sheria ya halftime/fulltime. Najua watu wengi huwa wanatamani kuicheza ila wanaogopa, mimi nimejaribu mara kadhaa ila nimekula za uso, ile sheria naona kama kuna sehemu inakanganya, naomba msaada zaidi wa ufafanuzi.
HT/FT maana yake ni matokeo ya kila kipindi

Kumbuka kwamba matokeo ya kipindi cha kwanza hayata athiri natokeo ya kipidi cha pili na kinyume chake
Kila kipindi inahesabika kama mechi kamili



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ht/Ft tafsiri yake ni unachagua timu fulani iongoze kipindi cha kwanza then overall winner
Ww ndio umeongea ilivyo!!! Hiyo timu ishinde kuanzia kipindi cha kwa kwanza na cha pili kiishe akiwa na ushindi hata kama cha pili hataongeza goli mladi tu asifungwe cha pili na mpinzanj wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom