WIMICKY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 1,439
- 1,575
Timu A iongoze kipindi cha kwanza then full-time mechi ieshe droo mfano leo Watford aongoze kipindi cha kwanza 2 kwa 0 then full time iishe 2 kwa 2
Akitoka cha Kwanzaa 2-0 afu game ikaisha 2-1 mkeka umechanikaSi kweli hapa issue ni kuwa timu A ashinde kipindi cha kwanza na mwisho wa mechi abaki kuwa mshinda hata kama kipindi cha pili halitapatikana goli mfano mechi ya juzi ya man u vs west hamu 1/1 kwa man ilikubali kwa kuwa alikwenda kipindi cha kwanz anaongoza na mechi ikaisha kwa yeye kushinda 2 kwa 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakua umelost akipata 1-0 first half afu game ikaisha 1-1 hii sio 1/x mkuuSio, Watford akipata goli (1-0) kipindi cha kwanza, na mpira ukaisha 1-1 ndiyo inakuea 1/x. Matokeo yakibaki 1-0 inakuwa 1/1
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli kaisome upya hiyo sheria, wew unaongelea double win yaan ashinde kipindi cha kwanza na kisha cha pili nacho ashinde bilakuyahusisha matokeo ya kipindi cha kwanza
SahihiWatford akipata goli kipindi cha kwanza (1-0) likadumu hadi mpira unaisha kwa 1-0 ndo inakuwa 1/1
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mnajichanganya hii ni 1/2 unayotafsiri weweTimu A iongoze kipindi cha kwanza then full-time mechi ieshe droo mfano leo Watford aongoze kipindi cha kwanza 2 kwa 0 then full time iishe 2 kwa 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri ww ndo ukaisome upya unachoekeza sio kilivyoSi kweli kaisome upya hiyo sheria, wew unaongelea double win yaan ashinde kipindi cha kwanza na kisha cha pili nacho ashinde bilakuyahusisha matokeo ya kipindi cha kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu rudi tena ukasome 1/2 inamanisha timu A aongoze kipindi cha kwanza then full-time timu B aibuke mshindi. Mfano Watford aongoze first half 1kwa 0 then full-time arsenal ashinde 2 kwa 1. Hii ndio maana ya 1/2.
NAONAAAAAAAA MNHANGAIKAA
Chat ya kwanza Arsenal ashinde 2/2, chat ya pili Arsenal ashinde vipindi vyote viwili
Nenda website ya bitcoins uliotumia kudepositWakuu msaada tutani niko nawithdraw pesa from 1x via BITCOIN sasa imaniambia nijaze crypto currency wallet address hii kitu najaza nini hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
"Accept odds changes". Je odds zitakoma kuhesabiwa mechi itapoanza (kwa pregame) au mechi itapomalizika (kwa in play)?