Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

af odd ya kiboya
Screenshot_20190415-213006.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scotland
HAMILTON RES. V GREENOCK MORTON RES.
TIP.FT1
TIME 16:00hrs

Scotland
FALKIRK RES. V QUEEN OF THE SOUTH RES.
TIP. FT1
TIME 16:00hrs

Russia
LADA TOGLIATI v VOLGA ULYANOVSK
TIP.FT2
TIME 17:00hrs

Finland
HIFK v LAHTI
TIP.HTX
TIME 18:00hrs

Scotland
HAMILTON RES. V GREENOCK MORTON RES.
TIP.FT1
✅✅✅✅✅✅✅✅
TIME 16:00hrs

Scotland
FALKIRK RES. V QUEEN OF THE SOUTH RES.
TIP. FT1
✅✅✅✅✅✅✅✅
TIME 16:00hrs

Russia
LADA TOGLIATI v VOLGA ULYANOVSK
TIP.FT2
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
TIME 17:00hrs

Finland
HIFK v LAHTI
TIP.HTX
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
TIME 18:00hrs
 
Yaani 1/1 cha kwanza timu A ishinde 2-0 afu cha pili timu B ilishinde 1-0 game iishe 2-1mkeka uwin!! We vipi umeanza kubet leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukifundishwa fundishika basi, acha ubishi. Ht/Ft hapa wanaangalia kipindi cha kwanza na kisha game yote kiujumla.

1st half/2nd Half hapa wanaangalia kila kipindi kunajitegemea chenyewe.
 
Mfano ikiwa hvi 2- 0 kipindi Cha Kwanza halafu kipindi chapili ikawa 0-1 hyo bado n 1/1 maana atakuwa kipindi kizima Ni 2-1 hvyo bado wa nyumban anaongoza hajapitwa. Na mfano ikawa hivi 0-1 halafu kipindi Cha pili ikawa 1-0 hyo Ni 1/X maana mechi imeisha sare lakn ikiwa 0-1 halafu kipindi Cha pili ikawa 2-0 hyo Ni 1/2 maana mechi imeisha 2-1 kinachoangaliwa Sana n mpira umeishaje na kipindi Cha Kwanza kimeishaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kwanza na ya mwisho (tatu) umepatia. Ila ya pili umechemka ila najua ni bahati mbaya.

Hapo inakua 2/X na sio 1/X kama ulivoandika wewe.
 
Yaani 1/1 cha kwanza timu A ishinde 2-0 afu cha pili timu B ilishinde 1-0 game iishe 2-1mkeka uwin!! We vipi umeanza kubet leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujistukii tu kila mtu anakubishia wewe? Kama unabeti vibandani muulize jirani yako hapo ili usiendelee kujichoresha humu. Maana unajionyesha wazi ni mgeni wa kubet
 
Back
Top Bottom