Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Mambo ya ngumu kumezaYa kwanza na ya mwisho (tatu) umepatia. Ila ya pili umechemka ila najua ni bahati mbaya.
Hapo inakua 2/X na sio 1/X kama ulivoandika wewe.
Haupo sahihi mkuuNeno lead labda sielewi lina maana gani hapo mkuu
Kila kipindi ni mechi kamili
Ikiwa wa nyumbani akifunga goli 1 kipindi cha kwanza na matokeo yakabaki hivyo maana yake ni 1/×
Yaani kipindi cha kwanza home alishinda
Kipindi cha pili hawakufungana ni draw
Nishawishi niamini tofauti mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Home ashinde firs half lakini full time iwe drow.
Wamesawazisha saizi tunasubiri waongoze tumpige mhindiHawa jamaa maboya Sana, possession 70 percent na bado wanapigwa goliView attachment 1072485
Sent using Jamii Forums mobile app
Atalanta kabet
13SEPTEMBER
Wapuuzi sana wananinyima mkwanja mrefu sana leo hawaTimu za italy ndo michezo yao ktk betting