Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii ya arsenal umekula!! Sasa wale waliokua wanasema 1/x waseme

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulisema Half Time/Full Time ni sawa sawa na 1st Half/2nd Half.

Mbona sasa Arsenal hajapata goli au ushindi wowote 2nd half lakini hapa inaonekana 2/2 imewini??

Na hii bet ya msela ingekua ame bet 1st Half/ 2nd Half basi hii yake inge loose, Ila 1/X angewin
 
Daah we acha tu,ila kuna app bado naifanyia utafiti mdogo wacha niliwe kwanza mimi ili nikiileta hapa wengine mpige jana nimeanza nayo hivi.....
WP_20190219_005.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
FULL-TIME:

ATALANTA 0-0 EMPOLI.

Possessions 61% - 39% .
Shots 47 - 3
Shots on target 18 - 1
Goalkeeper saves 1 - 17
Corner kick 9 - 3

Serie A huko [emoji28][emoji28] na mechi imeisha kwa suluhu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ligi zinaelekea mwishoni so kila timu inakaza sasa sie wa direct win ni kuchana tu mikeka, jana nikasema niweke option ya 12 kwa madrid na atalanta gafla wamedraw wote mkeka chali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatega kote kote, nje ndani
Halafu unapigwa kote kote
Betting bana sometimes inazingua kinoma

Aseno goli moja tu ningeimba kirusi
Madrid naye chaliii


Screenshot_2019-04-16-08-01-56-1-1-1.jpeg
Screenshot_2019-04-16-08-02-27-1-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
FULL-TIME:

ATALANTA 0-0 EMPOLI.

Possessions 61% - 39% .
Shots 47 - 3
Shots on target 18 - 1
Goalkeeper saves 1 - 17
Corner kick 9 - 3

Serie A huko [emoji28][emoji28] na mechi imeisha kwa suluhu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii game nliichek yoote aisee kipa wa empoli alikua man of the match aliokoa michomo kinoma na ilikua game muhm pande mbili empoli anakarbia shuka daraja na atalanta anaisaka top 4 .. bahat haikua yao tu
 
Jana nimetega mikeka mitano. Pamoja na kuchanganya option kwa Watford v Arsenal lakini wapi! Ya Madrid v Leganes niliweka 12 na 2.5 lakini Hanna kitu.
Kweli mhindi akitaka hela yako huchomoki
 
Jamani hii ya Brighton v Cardiff nataka niweke direct win kwa home ila nahisi Cardiff na sawa na mwanamke mwenye kaswende. Anataka asife peke yake. Ni sawa na Fulham kwa Everton juzi.
 
Back
Top Bottom