Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau ligi ya Spain inaenda mwisho hii. Kamata nchinje nyingi hivyo inatoa sana gg. Girona GG, Levante GG, St Eiber mnyama GG ya mapema sana.
 
Wakuu nisaidie : nimeweka pesa kwenye smu ya tochi yenye line ya safaricom Sasa kutoa pesa kwenye account ya safaricom kupeleka kwenye account ya mbet bado inanisumbua maana nmetumia menu yao ya *234# nkienda kwenye m-pesa service inaniambia your not allowed to use this service. Wanaotumia njia ya safaricom naomba msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbet au 1x bet?
 

we bwana nilikwambia nipigie nikupe maelekezo kwa kirefu lakin naona unaona unaingiliwa na ilhali namba yang nilikupa inbox
 
Chelsea nimewapa direct win, naamini kabisa anashinda game ya leo anakwenda kunipoza machungu ya mikeka ya jana.
 


Kwenye simu yako tafute app inaitwa sim tool click hyo utaona Safaricom click hapo nenda M-Pesa nenda lipa kwa M-Pesa utawmbiwa uweke namba ya kampun n 270029 watakuomba reference number n account number yako alafu utaweka kiasi then password unatibitisha mchezo umeisha.

Note: Safaricom M-Pesa n application Yan app ndo inafanya transaction zote
 
Naomba kuuliza maana nimetoa pesa kutoka 1xbet ishafika kwenye laini ya safaricom ninapotaka kuileta kwenye laini yangu naona bado haipo na safaricom imetoka maana nimeingia kwenye simkit ya safaricom nikaenda send money nkaweka namba yangu ya simu kwa kuanza na 075...nika comfirm transaction ila mpaka mda huu mpesa hakuna pesa je nimekosea?
 
Umekosea
Ulitakiwa utume Vodacom

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Hapo umemtumia mtu wa Kenya nasio namba yako ya Voda Tanzania wapigie Safaricom wajaribu kuirudisha Kama haijatoka kwa uliemtumia
 
Hapo umemtumia mtu wa Kenya nasio namba yako ya Voda Tanzania wapigie Safaricom wajaribu kuirudisha Kama haijatoka kwa uliemtumia
Labda kaituma kwenye line yake ya safaricom!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…