leo kama kawaida uruguay cap,, colombia cap,, italy normal,, ivory cost cap. natia mzigo.
mawazo yenu ni muhimu
Italy watapigwa mkuu Landcruiser so be care.
mi nawapa columbia,uruguay,coted na england jana nimekula na leo pia nakula.
Uruguay nmempa cap kabisa
Wazee wenzangu kila la kheri!
Unampa nani?
Hata mm
Kapigwa cap
yani unampa cap afu anapigwa cap na red juu
Mkuu Pole Uruguay wamekuharibia mkekasafi sana Colombia namsubiri Uruguay afanye mambo kesho nikachukue changu