Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndugu zangu kwa style hii ya marefa wa World Cup naona nisave hela yangu mpaka premier league ianze, tutaonana baada ra ramadhani
 
Boss wangu mchina kaweka €5000 spain kushinda, uso umekua mwekundu kama prawns
 
Huu mkeka nimeuwekea buku 5 namsubiri chile aongoze kipindi cha kwanza nkamtoe muhindi laki 2 na 30
 
Attachments

  • 1402692625458.jpg
    1402692625458.jpg
    56.6 KB · Views: 83
yani team nyingine bhanaa
..yani unaipa ipige cap yenyewe ndo inapigwa cap
. salute kwenu uholanzi
 
Dah yaani sijaamini dollar zangu zimeenda siamini kabisaaaaaa.
Spain ndo wakupigwa 5.
Yaani 1,2,3,4,5 daaaaa inauma sana.
Nadhani hii imeniuma sana ni jana jioni tu Cameron akaniua nikaona niongeze kwa spain nipate na faida sasa Spain ameniletea hasara, daaah
 
spain katuua wengi sana
 
Back
Top Bottom