Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

$340 hizo
 

Attachments

  • 1402501897567.jpg
    1402501897567.jpg
    59.6 KB · Views: 131
Muhindi kanila sana toka ligi ziishe sasa zamu yangu kesho naweka mkeka wa milioni.
 
Mmmmh baada ya kupata kamtaji sasa world cup nataka nicheke tuuu. Ngoja nijaze na iplay yangu kesho mapemaaaa nianze lamba dollar
 
Mie nampa Mexico zikizaa, nampa Spain zote.
Nataka leo nizalishe dollar kadhaa a tsh kadhaa
 
Back
Top Bottom