Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #1,961
Yeah lakin hata normal ilikuwa sio mbaya
yap sio mbaya kwnye normal ndo niliweka mzigo mwing
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah lakin hata normal ilikuwa sio mbaya
Nampa cameroon na chile
Boss wangu mchina kaweka 5000 spain kushinda, uso umekua mwekundu kama prawns
yani team nyingine bhanaa
..yani unaipa ipige cap yenyewe ndo inapigwa cap
. salute kwenu uholanzi
Leo mzigo naweka kwa mexico,spain,chile,dundalk.
Huu mkeka nimeuwekea buku 5 namsubiri chile aongoze kipindi cha kwanza nkamtoe muhindi laki 2 na 30
dah nakuonea wivu kwenye huu mkeka.. mi nimechana yote
dah!majanga
Dah yaani sijaamini dollar zangu zimeenda siamini kabisaaaaaa.
Spain ndo wakupigwa 5.
Yaani 1,2,3,4,5 daaaaa inauma sana.
Nadhani hii imeniuma sana ni jana jioni tu Cameron akaniua nikaona niongeze kwa spain nipate na faida sasa Spain ameniletea hasara, daaah
Boss wangu mchina kaweka 5000 spain kushinda, uso umekua mwekundu kama prawns