Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Pole Uruguay wamekuharibia mkeka
Dah yaani sijaamini dollar zangu zimeenda siamini kabisaaaaaa.
Spain ndo wakupigwa 5.
Yaani 1,2,3,4,5 daaaaa inauma sana.
Nadhani hii imeniuma sana ni jana jioni tu Cameron akaniua nikaona niongeze kwa spain nipate na faida sasa Spain ameniletea hasara, daaah
leo kama kawaida sikati tamaa FRANCE nafikiria kumpa cap draw au 45mins.. Argentina nampa cap bila kuwaza mara mbili.
Mkeka wangu leo ni kwa kups,jaro,sjk,sandeford,ifk,france,switzland,hammaby! Natupia 5000/= naweka mbili mbili! Tutaonana kesho kwenye mpunga!
Chonde chonde CEO Kuwa makini naye,usimuuzi unaweza ukachezea vitasa wiki hii.
Mkeka wangu leo ni kwa kups,jaro,sjk,sandeford,ifk,france,switzland,hammaby! Natupia 5000/= naweka mbili mbili! Tutaonana kesho kwenye mpunga!
Kiukweli nimepokea za uso hii world cup.
Haya nyie madogo huku
Hembu niambieni ya kesho,
leo sina salio.
Mnipe majibu mie nifanye kuingiza kwenye simu tu.[/QU]
Hizo zilizobakia 3 chin ndo za leo kwahyo ww cheki tu huweke hapo nimebase kwenye magol yatafika mawili na hyo nyingne mjeruman atashinda huo mkeka niliweka toka jana unaendelea leo
View attachment 165172