Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Poa mkuu nimekupata sawa bin sawia.
mkuu sergey mkeka wako utaharibika leo lazima wareno washinde UJERUMANI uenda wakaaga mapema sana fainali hizi.


hahahaha kaka DUA lako limeenda kombo kaka,PEPE analeta mpira wa mtaan bana,pole kaka husipende kuwekea mkeka timu unayoipenda bal angalia uwezo wa timu na ondoa upenzi maana hii ni biashara kk
 
Mpk wedi kapu iishe mikeka itakua ishachanika sanaa,,bado draw ni sumu ya kubet asee
 
Najaribu zali wadau nabet kwa elf kumi japan,uruguay na colombia
 
Yaani jana ilikuwa nishamuungia Uruguay dollar 50 sema iplay hawakuingiza hela yangu hadi sasa imeniuma sana sema kama ningeweka basi game ya japan ingeniua maana walidraw.
Leo nampa Italy
 
Wadau leo hondouras na equador inakaaje au ndo kama japan na greec?
 
Back
Top Bottom