Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

nimepiga laki na kumi yangu swaafi, Hongera ghana kwa draw, hongera Nigeria kwa win
betting is all about taking risk, just kuzipa nafasi timu ambazo sio favourite na unatulia kusubiri mpunga kiulaini kabisa!
 
You are brave mkuu, Ghana na German uliweka draw? Dah
 
ndugu hii worldcup haina ujanja game hazitabiriki kabisa, labda ujanja wa ziada chagua kipindi cha pili kuwa na magoli mengi zaidi ya cha kwanza

Mkuu naomba nifafanulie jinsi ya kubet vipindi, nimesoma nikaelewa jinsi ya kubet handicap na normal, zaidi ya hapo sijuwi.... na kwa mfano katika handicap timu yenye advantage na goli nikibet draw wakatoka 1-0 nimeshinda? kwa mfano wanacheza Brazil na Tanzania obvious Tanzania watakua na goli moja tayari, (+1) sasa mm nikabet draw na Brazil ikashida moja bila, iyo ndo draw? na nini maana ya mkeka, nikubet zaidi ya timu moja kwenye both normal na handicap? naomba msaada niingie kundini, nimekuwa nikibet kimoyo moyo na nashida
 
yah handcap draw ndo inatakiwa kuwe na tofaut ya goli 1. Kama unatumia simu kupitia m-bet huwez kuchanganya normal na handcap ila kama unaenda kilingeni kwenye mashine unaweza kuchanganya.. Kuhusu mkeka ni neno tu wabongo wamelipitisha kama slogan au slang ya tiketi ya kubeti
 
hiyo hadi kwenye vimashine au centre za kubetia, kwnye simu m-bet hamna hiyo option.

kwaiyo kwa M-bet utachagua moja kati ya normal na handicap? vipi kuhusu kubet kwa vipindi? yani kipindi cha kwanza itakua draw? natumai kwa jina lako lazima utakua mwanza, na mie niko mwanza, sehemu gani mwanza unaenda kubet ili nijongee na mm na ipi ni kampuni nzuri? najua zinatofautiana japo sizijuwi ....
 
meridian wapo vizuri kwa odds. Wapo town karibu na chuo cha CBE
 
Wale wa Meridian sasa sio lazima kwenda kwenye vibanda kuweka hela, unaweza weka kwa mpesa namba hao ni 170066 Reference ni jina lako
 
Back
Top Bottom