Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #2,101
Hili kombe wanaopiga ela ni wale wanaobet mechi moja na kuweka mpunga wa kutosha. Na unabet ushindi suluhu tu hamna kuamin timu kombe limekuja kivingne
hata game 1 nayo inazingua kama leo germany