BOOOOOOOOOOOOOOOOOOM+ ODDS
NILI REPLY MSG YA MTU NKAANDIKA CONST 1-0View attachment 1074705
Leo vp jana UCL wamenifanya mbaya
Achana meridian app mkuu wako slow sanaa ktk network, mm nliacha kuitumia mwaka 2016, sijui kama walisha jirekebisha,,Naomba linki meridian app ndg
Sema game ya PSG iligoma kutoa ila sio haba
Game ya CSKA vs BASKONIA ni basketball au?
kwa sababu ana enda kufa uko italykwanin asernal kapewa odd tamu
Yupo ugeninikwanin asernal kapewa odd tamu
kwahyo tufanyAjekwa sababu ana enda kufa uko italy
kwahyo tufanyAje
kwahyo tufanyAje
Chelsea kwenye magoli huwa namuhofia hakawii kushinda 1cheza 2+ kwa mechi iz leo
Chelsea
Napoli
Frankfurt
Valencia mpe DC ya win or draw