Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Totenham asipoangalia anaweza kula bao za kutosha huwezi funguka kiasi hicho huku unajua unacheza na City
 
So mechi ijayo atapigwa tena?
Naona unataka kua mgumu kuelewa, Somo hapo ni kwamba usimcheze direct win sababu ye kashabeba kombe kila game anayocheza hana cha kupoteza. Na sio lazima afungwe tena nxt game maana anaweza hata ku draw. Ila mkuu kama unapenda ligi za kubishana basi endelea kufanyia kazi mawazo yako
 
Achana nae chief,watu wa hvyo unawaacha wapambane na muhindi tu
 
Naona unataka kua mgumu kuelewa, Somo hapo ni kwamba usimcheze direct win sababu ye kashabeba kombe kila game anayocheza hana cha kupoteza. Na sio lazima afungwe tena nxt game maana anaweza hata ku draw. Ila mkuu kama unapenda ligi za kubishana basi endelea kufanyia kazi mawazo yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me namwambia Atapigwaaa...Maana akipigwa anaingiza mpunga zaidi maana kuuza mechi si mchezoo[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau kuna hii league ya Asia inaendelea huko wanafungana sana magoli, hizi ndio game za kubetia sasa
Betting sio rahisi,pamoja na mechi zote katika hiyo League kutoa magoli ya kutosha lakin ile tu niliyoichagua ikazingua..

1074536
 
Back
Top Bottom