Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hapa vipi wadau
Screenshot_2019-04-17-16-49-47.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo man city anachinjwa kichwa ,anatolewa uefa

Liverpool lose, ila anafuzu

Leo gardiola atafunguka anataka kuwafunga goli nying spurs, spurs watatumia huo udhaifu kumumaliza kabisaa gardiola kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
City atashinda mapema tu kaka utakuwa mpira mkali sana Na city hatokuwa na lakupoteza tofauti na kuona mvua ya magoli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nataka niweke Kilo tatu kwa Barca kushinda leo liwalo na liwe!

Daah hii kazi kweli ngumu wakuu nashukuru jana sikugusa timu nyingine yyote niliplace single bet moja tu na Barca hawakuniangusha...Kuna mdau mmoja humu alishawahi kusema ye huwa anachinja kuku kila baada ya kama wiki hvi kujipongeza na hii shughuli nzito...nilimuelewa sana aisee![emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom