Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_20190417_111237_225.jpg
IMG_20190417_111240_790.jpg
IMG_20190417_111234_290.jpg
 
Parimatch wangese kweli. Nimeweka 100 nifuate simba ashinde hadi mda huu haijaingia daaah simba anatoa ngumu leo ilikua ina odds kama 3 mda ule amefungwa
 
Wadau kuna hii league ya Asia inaendelea huko wanafungana sana magoli, hizi ndio game za kubetia sasa
 
Wakuu habari za leo? Najua sio salama sana kwa wale wenzetu ambao mliweka direct win kwa Juventus Turin, maana macho yote yalikuwa pale... Poleni sana, ndio mpira ulivyo hauna adabu, dakika 1 tu inaweza kubadilisha kila kitu kwenye mpira. Tupo tuliostuka mapema kumpa direct win Juventus Turin, maana game ilikuwa haitabiriki. Lakini pamoja na yote, kawaida ya hizi bet ni kula na kuliwa, wengine tuna miezi hatujawin hata bet moja, bet zote tunaangukia pua!

Leo UCL inaendelea guys, najua wengi wana imani na Man City kwa kumpa direct win. Hatupangiani namna ya kubet ila kuongezeana madini ni jambo la msingi. Guys hii game ya City na Spurs haitabiriki, inahitaji sana utulivu wa akili kabla hujaweka stake. Bora game ya Porto na Liver kidogo ina unafuu japo mimi naamini kabisa Liver kule Portugal hawachomoki hata wacheze uchi watapigwa si chini ya bao 2 mpaka 3; tutandike mikeka wazee tukutane saa 7...
Kuamini Liverpool inafungwa na Porto ni kama kuamini kulala na mama ako au dada yako utakuwa tajiri. FC Porto kwa takwimu hamfikii Liverpool, bet wisely chief

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom