Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

psg acheni ungese
Screenshot_2019-04-17-20-41-45.jpg
Screenshot_2019-04-17-20-41-40.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha wachezaji wa PSG wapo likizo wanakula bata, acha wapigwe tu wasinichanie mkeka wangu!
 
Ona waliyo wapuuzi hawa premierbet, niliwithdraw pesa haijaja week ya pili hii now nimedeposit haijaingia. Sasa nawaama kimoja bora nikomae na 1xbet
 
Back
Top Bottom