21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
Ajax atakua ameua
Kabisa mkuu...Kuanzia mpira waliopiga na madrid kulee aisee..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23]
Tamaa ilimponza fisiJuve anaweza kuipeleka hii game extra time akaniharibia
Sijui ni Cash out?View attachment 1073753
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kampuni gani hii yenye option ya Cash out?Juve anaweza kuipeleka hii game extra time akaniharibia
Sijui ni Cash out?View attachment 1073753
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nashukuru niliifuata
Mkuu pole sanaa, this is uefaNadhan bado watu hawajamjua Ronaldo vzur kwenye uefa haswa akiwa kwao. Wamuulize Diego Simeon anajua vzur hapo ajax anaweza asitoke na goli hata moja na akalambwa zakutosha. Kwa upande waan u hyo syo ya kuzungumzia maana ishaisha sku nyingi . Narudia kusema hivi kuwa mwenye hauruki Kijiji na uefa inawenyewe. Tukutane saa nne
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitoa tahadhari mapeeeema! Ajax wanakimbiza mwizi kimya kimya.Mkeka kama huu ajax kanichania.
Pole sana buddah!I truly blive that Ajax na Man U wapo hapa walipo kibahati tu. Na leo nimeshafanya uamuzi wa kuwaua, Madrid sio Juve, Madrid ya sasa iliyovurugwa na Ajax haina beki wala Striker wa maana plus iko hoi mpaka ikamrejesha Zizoo kuinusuru.Sare ya Juve kule uholanzi ni kwasababu walienda kutafuta goli la ugenini na kujilinda kwa ajili ya leo plus Ajax pamoja na kua kwao ilimbidi asawazishe. Asanteni kwa ushauri ila nitawaua hao dau la stake nawaza kulipunguza kidogo