Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakati watu presha bado ipo juu
Mi naanza kuhesabu mafao mapemaaa
Screenshot_2019-04-16-22-37-50-1.jpeg
View attachment 1073737

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raha ya betting uwe na hela isiyo na mawazo,kuna jamaa yangu nilikuwa nae kustake 2m ni jambo la kawaida ,yeye ni mtu wa mechi moja au mbili,nazinaenda poa kabsa,na kesho unamkuta kwenye gambe,respect wherever ur broo

Sent using Jamii Forums mobile app
Waapi!.. Bila shaka siri anaijua mwenyewe, unaweza kumkuta kwenye gambe sio kwa furaha bali ni kupoteza machungu ya pesa yake iliyoliwa na kanji au Mrusi..
Alichokifanya Atalanta jana kila mdau wa hii kazi anakijua.. Ukute na huyo mshikaji wako kilimkuta pia.
 
Back
Top Bottom