Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Raha ya betting uwe na hela isiyo na mawazo,kuna jamaa yangu nilikuwa nae kustake 2m ni jambo la kawaida ,yeye ni mtu wa mechi moja au mbili,nazinaenda poa kabsa,na kesho unamkuta kwenye gambe,respect wherever ur broo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Potelea mbali

Screenshot_20190416-193657_1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raha ya betting uwe na hela isiyo na mawazo,kuna jamaa yangu nilikuwa nae kustake 2m ni jambo la kawaida ,yeye ni mtu wa mechi moja au mbili,nazinaenda poa kabsa,na kesho unamkuta kwenye gambe,respect wherever ur broo

Sent using Jamii Forums mobile app

Uongo. Mfano kama juzi angebetia Barca ashinde aliliwa kichwa (alitoka 0-0)
Kama angebetia Juve ashinde aliliwa kichwa (alipigwa 2-1)
Kama angebetia PSG ashinde aliliwa kichwa (alipigwa 5-1)

Na hizi ndio zilikua timu za ushindi weekend iloisha, sasa unaposema huwa anabet mechi mbili/moja na mambo yanaenda muzuri huo ni uongo kaka.
 
Ko we unajua kwenye betting kuna option ya 3 way pekeake.....
Kariri hiyo option uliwe kichwa kila siku.
Uongo. Mfano kama juzi angebetia Barca ashinde aliliwa kichwa (alitoka 0-0)
Kama angebetia Juve ashinde aliliwa kichwa (alipigwa 2-1)
Kama angebetia PSG ashinde aliliwa kichwa (alipigwa 5-1)

Na hizi ndio zilikua timu za ushindi weekend iloisha, sasa unaposema huwa anabet mechi mbili/moja na mambo yanaenda muzuri huo ni uongo kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo. Mfano kama juzi angebetia Barca ashinde aliliwa kichwa (alitoka 0-0)
Kama angebetia Juve ashinde aliliwa kichwa (alipigwa 2-1)
Kama angebetia PSG ashinde aliliwa kichwa (alipigwa 5-1)

Na hizi ndio zilikua timu za ushindi weekend iloisha, sasa unaposema huwa anabet mechi mbili/moja na mambo yanaenda muzuri huo ni uongo kaka.

Utajuaje kama aliwauwa wote hao? Au unajuaje kama anabet option nyingine?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nadhani nitakuwa tofauti na wengine humu. Nimetoa direct win kwa Man United... Leo dunia itasimama kwa maajabu yatakayotokea! Juve na Ajax, nimewapa Double Chance, Home or Away. Juve kuwapa ushindi wa moja moja ni kujitafutia magonjwa ya moyo! Tukutane saa 7...
 
Uongo. Mfano kama juzi angebetia Barca ashinde aliliwa kichwa (alitoka 0-0)
Kama angebetia Juve ashinde aliliwa kichwa (alipigwa 2-1)
Kama angebetia PSG ashinde aliliwa kichwa (alipigwa 5-1)

Na hizi ndio zilikua timu za ushindi weekend iloisha, sasa unaposema huwa anabet mechi mbili/moja na mambo yanaenda muzuri huo ni uongo kaka.
Ujajua tu!!!Mzoefu wa Betting anaye stake zaidi ya 1m hawezi kuwapa Barca ushindi,Juve ushindi kwa kipindi hiki wakati anajua hizo team katikati ya week hii zinacheza UCL so kwa vyovyote zitapumzisha wachezaji, ama PSG wakati anajua hao jamaa washachukua kombe.
 
Unajua watu wanajua tmu kubwa tu. Sasa niwaambie ktu ukienda nchi nyingine toafut na nchi zenye tmu kubwa Kuna mechi za uhakika na pia Mara nyingi watu wanaoweka pesa nyingi hvyo kamwe huwezi mkuta anabet direct Winn never on Earth . Mtu anaenda zake uingereza au ujeruman au Netherlands anachukua tmu 2 au tatu za over 0.5 inakuja hata odd 1.3 akiweka m2 yake s laki 6 faida? Najua watakuja watu waseme ikitoka o-o Sasa nawaambia uingereza au ujeruman , Netherlands Kuna baadhi ya mechi hata iweje haiishi 0-0

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujajua tu!!!Mzoefu wa Betting anaye stake zaidi ya 1m hawezi kuwapa Barca ushindi,Juve ushindi kwa kipindi hiki wakati anajua hizo team katikati ya week hii zinacheza UCL so kwa vyovyote zitapumzisha wachezaji, ama PSG wakati anajua hao jamaa washachukua kombe.
Mkongwe vip leo tumetokaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua watu wanajua tmu kubwa tu. Sasa niwaambie ktu ukienda nchi nyingine toafut na nchi zenye tmu kubwa Kuna mechi za uhakika na pia Mara nyingi watu wanaoweka pesa nyingi hvyo kamwe huwezi mkuta anabet direct Winn never on Earth . Mtu anaenda zake uingereza au ujeruman au Netherlands anachukua tmu 2 au tatu za over 0.5 inakuja hata odd 1.3 akiweka m2 yake s laki 6 faida? Najua watakuja watu waseme ikitoka o-o Sasa nawaambia uingereza au ujeruman , Netherlands Kuna baadhi ya mechi hata iweje haiishi 0-0

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbuka ligi ndogo au ambazo sio maarufu options na odd zinabanwa sana tofauti na ligi kubwa na timu kubwa

Ndani ya ligi nako utakuta options za game ya man u vs arsenal ni tofati na za fulham vs Everton

Watu wanakimbilia kubeti huku sababu ya options ni nyingi mnoo kuliko ligi ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom