Ww ni mbuzi sana afu unacopy mikeka unaleta humu!? Cork city kapigwa jana ww unaleta won humu kenge wa mayai weweWewe chonga tu sisi tunakunja mfukoni mshiko kila cku angalia hapa chini kazi ya jana tena . View attachment 1073143View attachment 1073144
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu kila MTU anabet anavyoujua mchezoWe huipend pesa yako.....yani Ajax amuue Juve kwake... Asee pale cyo Santiago bernabau vavalai
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona hakuwin akiwa home?Hapana kwa kwel roho inaniambia Ajax anawin
13SEPTEMBER
Bahati hiyo hiyo inaweza kumvusha ajax Leo mkuuI truly blive that Ajax na Man U wapo hapa walipo kibahati tu. Na leo nimeshafanya uamuzi wa kuwaua, Madrid sio Juve, Madrid ya sasa iliyovurugwa na Ajax haina beki wala Striker wa maana plus iko hoi mpaka ikamrejesha Zizoo kuinusuru.Sare ya Juve kule uholanzi ni kwasababu walienda kutafuta goli la ugenini na kujilinda kwa ajili ya leo plus Ajax pamoja na kua kwao ilimbidi asawazishe. Asanteni kwa ushauri ila nitawaua hao dau la stake nawaza kulipunguza kidogo
Hahahaa sawa barca na Brighton hakuna mashaka ila ajax mwangalie sanaliwalo na liwe maana nimechoka kufikiria.
Barca win
Brighton win
Juve v ajax (No goal ten seconds after corner)
Total odds 3 na ushehe
Unaweka wazo baada ya kuishiwa kakaWakuu tuwekeni utaratibu wa kuchangiana mitaji, mtaji wangu mimi umekufa kabisa nimebaki naning'iniza pumbu tu!
Mkuu kila MTU anabet anavyoujua mchezo
Nilimpa tena ajax mbele ya Madrid na akatoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkongwe hapa tupo pamojaI truly blive that Ajax na Man U wapo hapa walipo kibahati tu. Na leo nimeshafanya uamuzi wa kuwaua, Madrid sio Juve, Madrid ya sasa iliyovurugwa na Ajax haina beki wala Striker wa maana plus iko hoi mpaka ikamrejesha Zizoo kuinusuru.Sare ya Juve kule uholanzi ni kwasababu walienda kutafuta goli la ugenini na kujilinda kwa ajili ya leo plus Ajax pamoja na kua kwao ilimbidi asawazishe. Asanteni kwa ushauri ila nitawaua hao dau la stake nawaza kulipunguza kidogo