betpawa mkuuDuh mkuu hii kampun gan?
13SEPTEMBER
Jilipue tu Mkuu,
Ajax hawezi kumchapa Juve pale Turin, game ya kwanza alijitahidi kukomaa tu lakini Safari Hii anachapwaAjax kufa kuna mashaka ila man u kufa ni lazima
Mimi naweka Ajax na Barcelona
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo, kama yaliyomfika Simba Lubumbashi.Jilipue tu Mkuu,
Hapo ni "Kill or Die"
View attachment 1073552 Tunatofautiana katika kubeti :
Wapo hubeti odds nyingi na wanaliwa kila cku
Wapo wengine hata hizi chache kama zangu hapa wanapoteza kila cku
Bora ubet odds chache za uhakika kuliko odds kibao unaliwa .angalia mapema ticket yakwanza tushahesabu sisi kazi kwako unauetaka odda kibao unakula mara 1 kwa mwezi
Sent from my iPhone using JamiiForums
ndo ubet kwa sh300View attachment 1073552 Tunatofautiana katika kubeti :
Wapo hubeti odds nyingi na wanaliwa kila cku
Wapo wengine hata hizi chache kama zangu hapa wanapoteza kila cku
Bora ubet odds chache za uhakika kuliko odds kibao unaliwa .angalia mapema ticket yakwanza tushahesabu sisi kazi kwako unauetaka odda kibao unakula mara 1 kwa mwezi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Juve and Barca Winn atakayebisha anyooshe mkono.Nadhan bado watu hawajamjua Ronaldo vzur kwenye uefa haswa akiwa kwao. Wamuulize Diego Simeon anajua vzur hapo ajax anaweza asitoke na goli hata moja na akalambwa zakutosha. Kwa upande waan u hyo syo ya kuzungumzia maana ishaisha sku nyingi . Narudia kusema hivi kuwa mwenye hauruki Kijiji na uefa inawenyewe. Tukutane saa nne