Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Alex Fagasson amesafiri na kikosi kuikabili Barcelona, je vijana wa Oleguna wataishangaza dunia?
 
Napata kigugumizi kubofya place bet

Mnaonaje wadau
Nahisi hakuna magoli mengi
Screenshot_2019-04-16-15-22-30-1-1-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajax leo ndio surprise package tuliyonayo Man United alishamaliza kwa PSG hawezi kutusuprise tena.

Leo juventus kazi anayo anaweza wafumua Ajax ila sio kirahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I truly blive that Ajax na Man U wapo hapa walipo kibahati tu. Na leo nimeshafanya uamuzi wa kuwaua, Madrid sio Juve, Madrid ya sasa iliyovurugwa na Ajax haina beki wala Striker wa maana plus iko hoi mpaka ikamrejesha Zizoo kuinusuru.Sare ya Juve kule uholanzi ni kwasababu walienda kutafuta goli la ugenini na kujilinda kwa ajili ya leo plus Ajax pamoja na kua kwao ilimbidi asawazishe. Asanteni kwa ushauri ila nitawaua hao dau la stake nawaza kulipunguza kidogo
 
Back
Top Bottom