Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Napoli -Arsenal 1X.2+
Frankfurt- Benfica W1
Valencia-Villareal 1X.2+
Chelsea- Sparta W1
Jaribu hapa

Ongezea Copenhagen-Midtyland 1X
 
wakuu kunaaliye toa pesa betpawa leo?me tangu mornie sijapata pesa yangu,msaadajinsi ya kuirudisha hiyopesa iludi kweny account
 
Wakuu hii game ya aseno mnaionaje?
Aseno anaweza kufanya maajabu?
Najitoa muhanga
 
Valencia inatoa double chance leo. Nyambizi anahangaika na laliga asishuke daraja. Game ya arsenal ipeni magoli hiyo itakua kama jana spurs na city. Chelsea hakawii kushinda goli moja chizi huyu. Ok wale wa kikapu karibuni tuangalie Euroleague playoff.
 
Option hii ilileta matunda mazuri kwenye uefa cl

Stake wisely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…