Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
matokeo yapojeWale wa low pressure
Msosi umekwiva
mkuu mayu nisaidie hata buku kumradhi mkuu
Ntakua nakufwata mkuu maana nachezea vipigo balaa
Hayoomatokeo yapoje
Nimewithdraw saa saba usiku wa kuamkia leo baada ya daika tatu mzigo umeingia. Labda kuna kitu unakosea mkuujaman msaada haya mambwaaaa betpawa ninewithdroo pesa tangu alhamis hadi leo hii aijafika ukiyapigia simu hayapokee,nipen njia mbadala niwasiliana na haya majibwaaa yenyewe yanapenda yatule tuuu ss ideot kbsa.
Mbona sikuuona huu ningeufuata maana ilikua hela hii
Dah nitaanza fuata mikeka yako...usichoke kutupatia mapema kaka
Nawe uwe unatengenezaDah nitaanza fuata mikeka yako...usichoke kutupatia mapema kaka
hawa wanazingua tuu,coz huwa natoa mara kibao tu akunaga kwele.Nimewithdraw saa saba usiku wa kuamkia leo baada ya daika tatu mzigo umeingia. Labda kuna kitu unakosea mkuu
Bro vipiShida ya under ndio hii sasa
Chelsea wamepitiliza