Fredy Frank360
Senior Member
- Dec 25, 2018
- 128
- 189
[emoji23][emoji23][emoji23] iliii usiwasumbueee kbsaaaHii pesa ukila wanafuta account yako kabisa, kupoteza ushahidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] iliii usiwasumbueee kbsaaaHii pesa ukila wanafuta account yako kabisa, kupoteza ushahidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatumia njia gani ku withdraw hela?1xbet imenisaidia sana leo
Unatumia njia gani ku withdraw hela?
Kama unamjua mwenye anauza safaricom ,nionganisheSafaricom
Over (1) 1.43mnaona izo oddds over 0.5 zinavyotofautiana kat ya betpawa na 1xbet
BETPAWA HAITAKI MKAMARIA ANUFAIKEView attachment 1075701View attachment 1075702
Naweza kusaidia mkuu ukaipata safaricom.Kama unamjua mwenye anauza safaricom ,nionganishe
Kama unamjua mwenye anauza safaricom ,nionganishe
Kama unamjua mwenye anauza safaricom ,nionganishe
Mkuu we iko wapi unapatikanaNaweza kusaidia mkuu ukaipata safaricom.
Nimeo option ya visa card kuna mtu ashatumia hiyo njia?anipe mrejeshoSafaricom
Iko hivi,kwanza kila kampuni ina utaratibu wake..Mara nyingi kuna kiwango cha mwisho cha kubeti na cha cha ushindi pia..lakini kubwa zaidi hawaruhu kuweka pesa bila kubeti na kuoitoa..bora ucheze hata single game..kikubwa ni kuwapigia watatatua shida yako usiogope..miamala haipotei.
Nimeo option ya visa card kuna mtu ashatumia hiyo njia?anipe mrejesho
Nisaidie namba zao MkuuWamekublock bila sababu??
Wapigie simu wakupe maelezo ya kueleweka waache kuibia watu kirahisi namna hio.
Itasumbua kwenye nini mkuu emu nisaidie nijueItakusumbua
Nipo boda namanga mkuu. Ndio napatikana.Mkuu we iko wapi unapatikana
Nipo boda namanga mkuu. Ndio napatikana.