21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
Vip ile stake ya 5m ni kweli uliweka?Wakuu wazee wa kubet, kuna strategy moja matata ya kumla mhindi, nimeijaribu mara kadhaa na mafanikio nimeyaona!
Vip ile stake ya 5m ni kweli uliweka?Wakuu wazee wa kubet, kuna strategy moja matata ya kumla mhindi, nimeijaribu mara kadhaa na mafanikio nimeyaona!
Napenda kuiita DOUBLE STAKE!,
Anza na mtaji wa buku 5 au 10k
1. Chukua game mbili za direct win hasa zingatia uwiano wa odds mfano home win odd 1.25 then away akawa walau 9, basi home uwezekano wa kushinda upo 90%.
Chukua game mbili odds 1.25 x 1.25 =1.5*
Siku ya 1), 1.5x 10000=,15000
Siku ya 2), 1.5x 15000= 22500
Siku ya 3), 1.5x 22500=33750
Siku ya 4), 1.5x 33750= 50625
Siku ya 5),, 1.5x 50625 =75900
Siku ya 6), 1.5 x 75900= 113900
Siku ya 7), 1.5x 113900= 170000*
NB:, siyo lazima udouble stake mara 7, unaweza fanya hata mara tatu au nne ukatoa faida yako iliyopatikana. Na tunalazimika kutumia game mbili badala ya single bet sababu single bet yenye odd 1.5 mara nyingi uwezekano wa kutoa ni mdogo tocammfauti navile vi odd vya 1.2 ambapo kukuangusha inakuwa mara chache sana!,
Zingatia pia kubet home win badala ya away win halafu hakikisha away walau awe na odd 8 na kuendelea.
Mkuu ile betslip ilikiwa autobet, ilikiwa unsetted so siyo mpunga halisi. Unadhani kuna mpuuzi gani wakujilipua 5m tena kwa direct win ya 1.8 odd🤣Vip ile stake ya 5m ni kweli uliweka?
Ni kweli mkuu kuliwa kupo ndiyomaana ikaitwa kubahatisha, ila sasa kwa mkakati huu risk inakuwa ndogo sana tofatu na yule anayeweka treni la game 5. Niamini hapa uwezekano wa kuvuka siku 7 bila kupoteza upo kabisa!Haka kamfumo katamu
Balaa lake sasa ukifika labda day 5 unashangaa Man city anafungwa na Wigan
Acc inasoma 0 BALNCE
Kustake capital yote plus faida nihatari sana
Inabidi kupunguza stake na kuweka back up
In case unakwama unaanza tena na back up uliokua unaweka
Mfano wa hiyo siteNi kweli mkuu kuliwa kupo ndiyomaana ikaitwa kubahatisha, ila sasa kwa mkakati huu risk inakuwa ndogo sana tofatu na yule anayeweka treni la game 5. Niamini hapa uwezekano wa kuvuka siku 7 bila kupoteza upo kabisa!
Nyongeza ni kwamba kwa wale ambao ni wavivu wa kuchambua game au wageni wa club/, team kuna website zinaweka games ambazo ni popular bet kwa siku husika so hizo game mara nyingi haziangushi aisee. Chomoa game mbili tia mpunga then tulia!
Msukuma mayu okoa jahazi baba nipate hata mtaji nishapigwa laki na nusuHaka kamfumo katamu
Balaa lake sasa ukifika labda day 5 unashangaa Man city anafungwa na Wigan
Acc inasoma 0 BALNCE
Kustake capital yote plus faida nihatari sana
Inabidi kupunguza stake na kuweka back up
In case unakwama unaanza tena na back up uliokua unaweka
Utaweza nikupe Ruby?Msukuma mayu okoa jahazi baba nipate hata mtaji nishapigwa laki na nusu
Hatari sana mzeemamaeeeeeeView attachment 1075861
Wakuu nimetoka ku deposit 1.5 mil kwenye akaunti yangu ya premier, nikaweka mkeka waka_reject, nikaweka tena hali ikawa ileile so nikaamua kuirudisha hela yangu kuja Mpesa...cha ajabu sasa naambiwa siwezi kutoa sababu wameni_block!! Msaada wenu wakuu nahisi kudata hapa
Wakuu nahitaji jamvi moja matata kwa ajili ya weekend niweke kaki chap.
Your suggestion mkuuKumbe 1xbet ni illegal na iko banned nchi kibao, hizi njia tunazozifanya zitakuja kutu_cost.
Hawa wazee hata wakisepa na pesa zako huna pakuwashtaki.
Nahisi ni figisu za US na UK
Kesho tukutane Samaki samaki kusherekea ushindi...View attachment 1075239View attachment 1075240View attachment 1075241View attachment 1075242