Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Napenda kuiita DOUBLE STAKE!,

Anza na mtaji wa buku 5 au 10k
1. Chukua game mbili za direct win hasa zingatia uwiano wa odds mfano home win odd 1.25 then away akawa walau 9, basi home uwezekano wa kushinda upo 90%.

Chukua game mbili odds 1.25 x 1.25 =1.5*
Siku ya 1), 1.5x 10000=,15000
Siku ya 2), 1.5x 15000= 22500
Siku ya 3), 1.5x 22500=33750
Siku ya 4), 1.5x 33750= 50625
Siku ya 5),, 1.5x 50625 =75900
Siku ya 6), 1.5 x 75900= 113900
Siku ya 7), 1.5x 113900= 170000*

NB:, siyo lazima udouble stake mara 7, unaweza fanya hata mara tatu au nne ukatoa faida yako iliyopatikana. Na tunalazimika kutumia game mbili badala ya single bet sababu single bet yenye odd 1.5 mara nyingi uwezekano wa kutoa ni mdogo tocammfauti navile vi odd vya 1.2 ambapo kukuangusha inakuwa mara chache sana!,

Zingatia pia kubet home win badala ya away win halafu hakikisha away walau awe na odd 8 na kuendelea.
watu walishapita huko siku nyingi na mzunguko wa pili tuu unaangukia pua. Tatizo tunaamini odd tulizopewa ndio zinacheza ama timu iliyopewa odd kubwa ni vilema ambao watakubali kufungwa tuu kumbe kila timu ina nafasi sawa ya kushinda na zote zinafanya jitihada kushinda
 
watu walishapita huko siku nyingi na mzunguko wa pili tuu unaangukia pua. Tatizo tunaamini odd tulizopewa ndio zinacheza ama timu iliyopewa odd kubwa ni vilema ambao watakubali kufungwa tuu kumbe kila timu ina nafasi sawa ya kushinda na zote zinafanya jitihada kushinda
Ni kweli unachosema lkn mara nyingi odd zinaenda sambamba na matokeo
 
Wakuu nimetoka ku deposit 1.5 mil kwenye akaunti yangu ya premier, nikaweka mkeka waka_reject, nikaweka tena hali ikawa ileile so nikaamua kuirudisha hela yangu kuja Mpesa...cha ajabu sasa naambiwa siwezi kutoa sababu wameni_block!! Msaada wenu wakuu nahisi kudata hapa
Makampuni mengi ukiweka pesa huwezi kuitoa bila kuicheza. So hapo wanataka mpaka ucheze izae ama uliwe ila sio kuitoa
 
Mh
20190419_221404.jpeg
 
Booking points inamaana gani? Msaada Tafadhali
Idadi ya point kwa mgawanyo huu
Yellow card 1 nisawa na point 10
Red card 1 ni sawa na point 25

Ikiwa kutakua na njano mbili na nyekundu moja maana yake ni 10+10+25=45 point
 
Back
Top Bottom