21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,309
- 2,861
Kazi kweeli kweeliValencia inatoa double chance leo. Nyambizi anahangaika na laliga asishuke daraja. Game ya arsenal ipeni magoli hiyo itakua kama jana spurs na city. Chelsea hakawii kushinda goli moja chizi huyu. Ok wale wa kikapu karibuni tuangalie Euroleague playoff.