Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nadunduliza hela ya pasaka
Screenshot_2019-04-20-11-55-21-1.jpeg
 
Maana ya hizi option ni nini mkuu
Tottenham amepewa magoli mawili 2+

three way handcap inamatokeo yote matatu home win, draw na away
Utakae mchagua jua kuna magoli mawili kwa totenham
Mfano
Mechi iliishaa mancity 1 tot 0
Totenham anakua kashindaa mana ana 2+ goal handcap
 
Ikiisha draw je au man city akishinda 2 bila

Back
Top Bottom