Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ikiisha draw je au man city akishinda 2 bila
Baada ya mechi kwisha muongezee tot goli 2
Kisha angalia kama kashinda au laa baada ya kumuongezea hizo goli 2

Kama jumla ya goli ni nyingi kuliko ma city kashina.....won
 
hapa vipi wadau
Screenshot_20190420-132307.jpeg
 
Back
Top Bottom