Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Dinner saved
Naona leo ilikua siku ya watu wadirect winSiku ya kuliwa bhana et Man City v Tottenham haina GG wala over 1.5
Labda GGWale wa live mpeni simba huko
Thanx mkuu
Unapotea sana mkuu!
Mkuu hizi unacheza zikiwa dk ya ngap ndo unaplace bet?Dinner savedView attachment 1076644
Mkuu nilidandia odd ulizo ombajamani Nina 500k nataka nijiripue wakuu naomba odd 2
Naona leo ilikua siku ya watu wadirect win
Mkuu nilidandia odd ulizo omba
Thanx again mayu
Lazio kashaondoka na hela zetu
Hivi kweli mtu unashindwa kugoogle betpawa tz , huu ni uvivu au niniMwenye Link Ya Betpawa Pliz...