Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wakuwekeza mizigo
Screenshot_2019-04-20-19-14-21.jpeg
 
Maisha magumu sana leo. Lazio kafumuliwa, Galatasaray na Juve nao wamekalia misumari
 
IMG_6421.JPG



Pale unapoweka under 5.5 halafu HT tu.....betting ni kazi ngumu sana na ya akili unaweza pata vidonda vya tumbo.
 
  • Thanks
Reactions: K M
Mkuu amin nakwambia hii game juve anapoteza make fiolentina kashakataliwa gori zake mbili,,,saiz ingekua inasoma juve 1 fiolentina 3 ht
Hawa fiorentina watauwawa Leo yaan wanapelekwa mashambulizi yakufa nyani
 
Back
Top Bottom