Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Risk big win big
Screenshot_20190420-215358.jpeg
 
Saiv kumetulia? Au ndo bado wenge

Bado kuna wenge sema kuna hitaji timing. Mara nyingi ikifika saa kamili au na nusu (coz ndipo game nyng zinaanza) lazima ukutane na wenge.

Ila kuanzia dk ya 5 mpk 25, then from dk 35 - 55 kunakuwa shwari
 
Back
Top Bottom