Hivi mkuu ushamsahau huyo!? Mpotezee tuMbona unateseka mkuu?
Nini shda Tena humu kutukanana?Hivi mkuu ushamsahau huyo!? Mpotezee tu
Juve na Galatasaray wameanza uchawi..
Juve sitaki kumsikia pamoja na PSGJuve bana
Au Ronaldo hayupo?
Mkuu amin nakwambia hii game juve anapoteza make fiolentina kashakataliwa gori zake mbili,,,saiz ingekua inasoma juve 1 fiolentina 3 htJuve bana
Au Ronaldo hayupo?
AnashindaGalatasaray, thank you!
Juve wako full kikosi leo, sijui wanakwama wapi hawa mbwa!
Kweli jamaa yanguView attachment 1076823
Pale unapoweka under 5.5 halafu HT tu.....betting ni kazi ngumu sana na ya akili unaweza pata vidonda vya tumbo.
Hawa fiorentina watauwawa Leo yaan wanapelekwa mashambulizi yakufa nyaniMkuu amin nakwambia hii game juve anapoteza make fiolentina kashakataliwa gori zake mbili,,,saiz ingekua inasoma juve 1 fiolentina 3 ht
Hawa fiorentina watauwawa Leo yaan wanapelekwa mashambulizi yakufa nyani
Ha haaaKweli jamaa yangu
kweli mwishoni mwa ligi kushinda imekua ngumu kweli kweliMkuu we acha tu huku mwishoni mwa Ligi Siyo kuzuri, kule Lazio, huku Fulham daah