Mwendo ni 2+Leo ninawasiwasi na Real madrid anaweza laza watu njaa.
Siku nyingine uache uoga kakajana niliwin mechi 9 in one comb ila niliatake 1000 mpaka sasa najiona mjinga kwani odds zilkuwa 17.32
Ha ha haaaaSiku nyingine uache uoga kaka
yaaan ningeweka 500k mmh kanji angetoa ushuzi halafu wanakata kod balaaSiku nyingine uache uoga kaka
Ha ha haaaa
Siku ukitia stake uchwara mkeka green
Ukitia stake mlima mkeka red
Mzee unachezaga hiyo kitu? We kweli kiraka..sijawahi kuielewa naona Namba Namba tu..Wazee wenzangu mbona playmaster Kuna mchezo unaitwa keno haiko active kwenye app yangu? Au shda nini
Kuna muda ukizidiwa unaitafuta mkuu. Inatakiwa ujue kla ktu mkuu Mambo n mengi kina muda football inazingua mpaka basiMzee unachezaga hiyo kitu? We kweli kiraka..sijawahi kuielewa naona Namba Namba tu..
Yeah uko sahihi..itabidi umwage maujuzi hapa.Kuna muda ukizidiwa unaitafuta mkuu. Inatakiwa ujue kla ktu mkuu Mambo n mengi kina muda football inazingua mpaka basi
Mkuu hyo haina maujuzi n kubahatisha tu mkuu .nataka hyo lakn kwenye playmaster yangu haipo active sjui shda Nini. Je kwenye meridian ipo active kwa wanaotumiaYeah uko sahihi..itabidi umwage maujuzi hapa.
Aisee mkuu kwa hizi option naisubiri tu line yangu ya safaricomSevilla vs Rayo Vallecano
Andre Silver to score a goal at any time-No
Odds 1.79
Real Sociedad v Villareal
Real Sociedad Handcap 2:0
Odds 1.165
Odds 2.08
Hakuna haja ya kutumia laini ya safaricom... Mambo yako freshAisee mkuu kwa hizi option naisubiri tu line yangu ya safaricom
Unadeposit kwa njia ipi mkuu??Hakuna haja ya kutumia laini ya safaricom... Mambo yako fresh