Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20190428-171114.png
 
Game ya Leeds vs Aston villa kumetokea kitu cha ajabu sana aisee,Bielsa kocha wa Leeds amewaambia wachezaji wake wasikabe na kuruhusu Aston Villa wapate goli la kusawazisha iwe 1-1
 
Haaaaa labda alibet shieffied Utd apande daraja ila hata matokeo hayakuwa na impact kwake nguvu anawekeza kwny playoff
 
Amefanya fairplay goli lao walifunga kimakosa mchezaji alikua majeruhi so iliwabidi wafanye fairplay ndio sabab players wote waliacha Villa warudishe ingawa mmoja alikomaa
 
Haaaaah dah wenye mikeka ya leeds wamlaumu kocha
 
Haaaaa labda alibet shieffied Utd apande daraja ila hata matokeo hayakuwa na impact kwake nguvu anawekeza kwny playoff

Yule jamaa huwa ni mtata sana(Biesa), alifanya hvyo coz Aston villa walilalamika kwamba goal la leeds lilikuwa na utata na ugomvi ukatokea, mchezaji mmoja wa villa akala umeme katika huo ugomvi,so Bielsa akawaambia wachezaji wake waruhusu Villa wafunge bila kuwakaba kama fairplay, yaan walikuwa wamesimama tu!
 
Oooh basi ngoja tuone wakikutana kwny play off nani atapita
 
Mbona hii game ya leeds ni kama walipanga matokeo, naona baada ya leeds kufunga wachezaji wa aston villa wamemkaba mfungaji...

Halafu na wao pia, leeds naona hawakaba kabisa wakafungwa...

Hii mechi majamaa walibet iwe draw nini...
 
Back
Top Bottom